Milpa Media

Wasiliana nasi +255714 738 281

Milpa Media

Wasiliana nasi +255714 738 281

Breaking

Tangazo

Friday, May 18, 2018

May 18, 2018

HONDWA MATHIAS SONG LIKO LANGO.Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania Hondwa Matias ametoa mwimbo Mpya mwaka huu 2018 Unaitwa Liko Lango ni moja kati ya nyimbo zenye baraka za kutosha ndani yake.

Kupitia Milpa Media alikuwa na mengi ya kusema lakini kwa sasa angalia video hii na ikubariki mengi yanaata...

Tuesday, May 8, 2018

Sunday, April 8, 2018

April 08, 2018

Alichokifanya Emanuel Mbasha jumapili ya leo kwenye madhabahu ya Mlima wa Moto

Jumapili hii imekuwa ya baraka sana kwa waumini walioweza kufika katika kanisa la Mlima wa Moto kwa mama Rwakatare ambapo mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Emanuel Mbasha alihudumu kama mwimbaji wa siku ya leo

Huduma ilikuwa na nguvu sana Bwana akitenda miujiza katika madhabahu hii watu wakioka na kumpokea Yesu mokozi wa Maisha yao


''Pale ni mwendo wa kuharibu mipango ya shetani tuu'' alisema Mbasha baada ya kumalizika kwa ibada huku akisema kuwa kwa siku kama ya leo bado na maeneo mangine anatakiwa kwenda kutoa huduma na kuitangaza injili