Wasiliana nasi +255714 738 281

Wasiliana nasi +255714 738 281

Breaking

Tangazo

Tuesday, September 19, 2017

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Pascal Casian na Eveh Mlawati kuzindua album Mpya


Mwimbaji wa nyimbo za Injili Pascal Casian na Eveh Mlawati wanatarajia kufanya uzinduzi wa album yao iitwayo waleteni wagojwa

Image may contain: 13 people, people smiling, text

SHALOM WANA NABINTI ZA MUNGU WANAIFAKARA PAMOJA NA TANZANIA YOTE KIUJUMLA NIILE ALBAM TULIOKUWA TUKIIGOJEA KWAHAM IITWAYO WALETENI WAGONJWA ILIO IMBWA NA Eveh Mlwati FTPaschal Cassian SASA INAENDA KUZINDULIWA TARE 24/9/20017 KATIKA VIWAJA VYA CCM TANGANI IFAKARA NAUZIDUZI HUU UTAKUWA NA NEEMA YAAJABU ASILIMIA KUBWA YAWABUNGE NAVIONGOZI WANCHI PAMOJA NAWATU MAARUFU WATAKUWEPO KUSINDIKIZA UZIDUZI HUO TAFADHALI USIPANGE KUKOSA SHEA HABARI HII KWAMARAFIKI ZAKO