Wasiliana nasi +255714 738 281

Wasiliana nasi +255714 738 281

Breaking

Tangazo

Sunday, April 8, 2018

Alichokifanya Emanuel Mbasha jumapili ya leo kwenye madhabahu ya Mlima wa Moto

Jumapili hii imekuwa ya baraka sana kwa waumini walioweza kufika katika kanisa la Mlima wa Moto kwa mama Rwakatare ambapo mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Emanuel Mbasha alihudumu kama mwimbaji wa siku ya leo

Huduma ilikuwa na nguvu sana Bwana akitenda miujiza katika madhabahu hii watu wakioka na kumpokea Yesu mokozi wa Maisha yao


''Pale ni mwendo wa kuharibu mipango ya shetani tuu'' alisema Mbasha baada ya kumalizika kwa ibada huku akisema kuwa kwa siku kama ya leo bado na maeneo mangine anatakiwa kwenda kutoa huduma na kuitangaza injili